Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kibada, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 CLASSIC HOUSE INAPANGISHWA – KIGAMBONI KIBADA (STAND) 🏡
Wahi mapema upate nyumba nzuri kwa bei nafuu!
✨ Jiko kali la kisasa
✅ Chumba 1 cha kulala (Master Bedroom)
✅ Jiko kali la kisasa
✅ Iko ndani ya fensi
✅ Mazingira mazuri na salama
✅ Parking ya magari
💰 Kodi: Shilingi 170,000 kwa mwezi
📞 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupanga kuiona nyumba.
#ClassicHouse #NyumbaInapangishwa #Kibada #Kigamboni #HouseForRent DarEsSalaam NyumbaZaKupanga MasterBedroom MazingiraMazuri AffordableHomes Re















