Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kibamba Shule, Dar Es Salaam









Aina
Nyumba
Vyumba
1
Bafu
1
Barabara ya Karibu
3km
Awali
Inaruhusiwa
Maelezo
MASTER BEDROOMS MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #80k
Chumba kikubwa
Choo ndani
Maji yanaflow chooni
Ndani ya fence
Kodi 80,000 Kwa mwezi × 3
Umbali KM 3 Usafiri bajaji 1000 au bodaboda 1500
call 0659244543
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15















