Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Kigamboni, Dar Es Salaam
11 hours ago
Sh. 250,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Location kigamboni mwongozo
Kodi 250000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 20000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Jiko
Umeme luku yako
Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block
Parking space
Mazingira tulivu sana
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali pilipili















