Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni Darajani, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 CLASSIC HOUSE INAPANGISHWA – KIGAMBONI DARAJANI 🏡
Wahi mapema upate nyumba nzuri kwa bei nafuu!
✅ Chumba 1 (Master Bedroom)
✅ Sebule
✅ Jiko
✅ Full AC
✅ Ndani ya fence kwa usalama wa kutosha
✅ Eneo kubwa la parking kwa magari
✅ Mazingira tulivu na salama
💰 Bei: TSh 500,000 kwa mwezi
📍 Location: Kigamboni Darajani
Karibu sana kwa mawasiliano na kuona nyumba.
#ClassicHouse #NyumbaInapangishwa #KigamboniDarajani #Kigamboni #HouseForRent DarEsSalaam MasterBedroom FullAC Parking NyumbaBora RealEstateTZ NyumbaZaKupanga NdaniYaFence UsalamaKwanza TanzaniaHomes 🏡🔑✨dalalissimbakisiwani















