Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam
Kigamboni, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 150,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Location kigamboni kisiwani
Kodi 150000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 20000 kuona nyumba
Chumba kimoja master jiko
Umeme luku
Maji dawasa ndani yanafloo
Parking space
Mazingira tulivu sana
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali pilipili















