Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Bucha, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
#Inapangishwa KIMARA BUCHA, umbali wa dakika 7 tu kwa miguu kutoka mwendo kasi
π Kodi 280,000/= *6
π Dalali 280,000/=
π Kupelekwa kuona 20,000/=
__
____
β’ Jiko
β’ Sebule
β’ Chumba Master
* Fensi
* Maji ndani
* Inajitegemea Umeme
#Inakuwa Wazi kesho kutwa Tarehe 30/06/2026, kuona na kulipia Ruksa.
0679 997610















