Tafuta

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Kologwe, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 200,000/month

Maelezo

Chumba master sebule na jiko

Kod 200000 x3 wahi

Nyumba ipo kimara kologwe km2 pia unaweza kupitia kmara mwisho tax 700 kote unafika

Umeme na maji inajitegemea zipo 3 kwenye compound moja kati ya hzo moja ndio inakuwa wazi leo jioni

Nyumba zipo ndani ya fence isiyolaza gari

Mawasiliano 0656623510

WSP 0752436347

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

Sh. 1,300,000/quarter

For Rent2 beds2 bathshouse