Tafuta

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Sh. 100,000/month

Huduma na Sifa

Karibu na Stendi ya Mabasi
Service Charge20000

Maelezo

Chumba master kubwa sana inapangishwa

K9d 100000 x5,6

Nyumba ipo kimara mwisho km2.5 kutoka mwendokas usafili bajaji boda daladala uhakika muda wote

Nyumba haipo ndan ya fanc ila mazingila mazuli sana

Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba

Mawasiliano 0656623510

WSP 0752436347

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam