Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam
Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
200m
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 12
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1
NA BAJAJI NAZO ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
==============
hii ni chumba master tuu
Yaani ni chumba na choo ndani
Umeme mna shilikiana watu wawilli 2
Na maji piya
Chumba hiki hapa kwenye fensi yaani hakuna fensi Ira kipo Mazingira mazuri sana
KODI YAKE KWA MWEZI
====================
kwa mwezi ni kodi ya laki moja nanusu tuu/=
(150,000)
X 6
CALL
WHATSAPP















