Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
Master mpyaa kabisa kubwa
Kod 120000 x6
Nyumba ipo ndan ya fanc mazingila mazuli sana
Kimara mwisho km2.5 usafili bajaji daladala
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347















