Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Maelezo
KODI 230,000/=×6 NA YA 200KX6 NEW MASTER BEDROOM NA JIKO LAKE INAPANGISHWA
LOCATION : KIMARA MWISHO : DK 8 - 9 KUTEMBEA
Muundo
#Chumba Master
#Yani chumba na choo
#Jiko linafungwa makabati
#Umeme maji unajitegemea
#Bila kusahawu Hela ya tahadhar ya nyumba ambayo 100,000/=
Angalizo :
nyumba mpya unarusiwa kuona kulipia,kuhamia Tarh
5 / 6 / 2026
....0655256419
....0688617926















