Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam









Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
1km — Morogoro Road
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UME LIPIYA NYUMBA
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KILOMETRES BODA 1000
BAJAJI 1000
------------------------------------------
SIFA YA NYUMBA
==============
hii ni chumba master na
Yaani ni chumba na choo ndani na seem ya kupikiya
KODI YA PANGO
=============
Kwa mwezi ni kodi ya laki moja unusu
(150000)
X 6
CALL
CALL
☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆















