Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Stop Over, Dar Es Salaam









Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
1.5km — Morogoro Road
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER KM 1,5 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO PIKIPIKI NA BAJAJI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 20
SIFA YA NYUMBA
========≈=====
hii ni chumba sebule na choo ndani na jiko zuri Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
=============
INAKUWA WAZI LEO JIONI
kwa mwezi ni laki moja nasabini/= (170,000 X6
CALL
CALL















