Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
kinyerezi G7 dk 5 kwa miguu
chumba sebule jiko lenye makabati na choo
ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
inajitegemea umeme na maji yanaflow ndani
kodi 300K X6
maji moto maji baridi
survey charge 30,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
kwa mawasiliano piga simu
O677370515 WHATSAPP number
O688991244 NORMAL CALL















