Tafuta

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbagala Mbande Kisewe, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 80,000/month

Maelezo

Chumba single master bedroom kinapangishwa bei elfu 80 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 3 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala mbande kisewe location ungindoni, chumba single master bedroom kina tiliz, madilisha vioo, jiko la ndani kwa ndani lipo, umeme unajitegemea luku yk pamoja na maji pia mita yk, juu panga boy feni lipo, na fensi ipo pia lkn cio yakuingia gari. Umbali wake kutoka kwenye kituo cha daladala hadi kwenye nyumba ni kama mwendo wa dakika 5 ivi kwa kutembea kwa miguu. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.

Matangazo yanayofanana Mbagala, Dar Es Salaam

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbagala Mbande Kisewe, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

  • Tiles

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbagala Maduka, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Karibu na Stendi ya Mabasi

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbagala Maduka, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Jiko

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbagala Mbande Kisewe Stendi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

  • Luku Inajitegemea

  • Mita ya Maji Inajitegemea

  • Uzio