Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam


Mbezi, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 250,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba hii ni
Kubwa ukubwa wa chumba sebule choo jiko
Luku yako pekeyako
Maji mita yako pekeyako
Kodi sh laki 250 //👈
Ilipo njia ya mbezi bechi kituo cha sicansica kituo kipya umbali wa dakika 7 kwa miguu
PK ipo kubwa sana
#











