Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Beach, Dar Es Salaam
Mbezi, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 250,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba hii ni
Chumba sebule choo jiko tuu
Luku yako pekeyako
Maji mita yako pekeyako
Kodi sh laki 250// ,,👈
Ilipo njia ya mbezi bechi kituo ni sicansica umbali ni dakika 5 kwa miguutuu kutembea tuu
Mwenye nyumba hakai hapo
#















