Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Beach Tank Bovu, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
3km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
💥Chumba master ,Sebule na jiko
💥400,000 miezi 6
💥Umeme Maji unajitegemea
💥Ndani ya Fence na Parking kubwa
💥Mbezi beach Tank bovu dakika 3 kutoka Lami
💥Service charge 20k
Mtu anatoka mwisho wa mwezi kuona na kulipia Ruksa















