Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Malama Mawili, Dar Es Salaam


Aina
Nyumba
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
2km
Huduma na Sifa
Maelezo
Chumba master, sebule na jiko inapangishwa bei 250000 kodi kuanzia miezi 6, umeme na maji unajitegemea, parking kubwa, peving block, tank la maji pia lipo, kutoka kituoni dakika 2 hadi 4 hivi, Location mbezi malama mawili dar es salaam Calls/whatsapp 0768682919 au 0653233641 Service charge tsh 20000 Malipo ya dalali















