Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam









Aina
Nyumba
Vyumba
1
Bafu
1
Barabara ya Karibu
6m
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
(350,000X6)MBEZI MWISHO DK 6 KWA MIGUU ĶUTOKA LÀMI
______
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO
>Mkabati ya nguo yapo
>Makabati ya vyombo yapo
>Meter yake ya Dawasco
>Jiko la kisasa lenye makabati yake
>Ina LUKU yake peke yake
>Choo cha kukaa
>Heater ya maji ya moto Bafuni na jikoni
>Finishing ya kisasa(nje na ndani)
>Parking ya kutosha
>Garden & Maua
>Fensi ya kisasa kabisa
>Pevements nje kote
>Pagola ya kupumzika/kukutana na wageni wako
>Public THOILET ya nje zipo
>CCTV CAMERA ZIPO
>Karibu na LAMI dakika 5
NB:👇
>Maji DAWASCO-FREE👍
>ULINZI -FREE👍
>KUZOA TAKA-FREE👍
>USAFI WA NJE-FREE👍
>KUTUNZA BUSTAN-FREE👍
>KODI YAEKE NI TSH 350,000/Mwezi(1). Tunapokea👇
Miezi ( 6)-2,100,000/=
____________
NB: INAĶUWA WAŹI TAR 01/06/2026 KUONA NA KULIPIA RUKSA
CONTACT US:
0662715781
0790480030
KARIBU SANA👌!















