Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbuyuni Mwazoni, Morogoro

Mbuyuni, Morogoro CBD, Morogoro
23 days ago
Sh. 250,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
💥Chumba master ,Sebule na jiko
💥250,000 miezi 6
💥Umeme Maji unajitegemea
💥Ndani ya Fence na Parking kubwa
💥mbuyuni mwazoni nyumba nzuli sana
💥Service charge 20k
Mtu anatoka mwisho wa mwezi kuona na kulipia Ruksa




