Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Msaranga Majengo, Tanga

Majengo, Tanga CBD, Tanga
10 hours ago
Sh. 150,000 per month
Aina
Nyumba
Vyumba
1
Huduma na Sifa
Luku Inajitegemea
Maelezo
Huwezi amini Double Self mpya yenye jiko, chumba na dinning kwa 150,000 tuu.
Nyumba inajitegemea yenyewe na umeme wako mwenyewe.
Bei: 150,000 Miezi 3.
Nyumba ipo Msaranga Majengo.
Wasiliana nami 0625 369 161
Note: Gharama za kuna Nyumba ni 10,000 na udalali wa mwezi mmoja.
