Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Riverside, Ubungo, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
Master sebule jiko ipo riverside ubungo kanisa la Roma barabarani kabisa bei yake 400k....imenyoka nyumba ipo njiani mpya unazindua wewe mwenyewe....sevc chaji 20k..... ukilipia dalali mwezi mmoja unyokee....ujenzi wa fensi unaendelea kila kitu kinakuwa safi kabisa......njoo chapu tumalize biashara....
📞0748403079















