Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Sala Sala, Dar Es Salaam

Sala Sala, Kinondoni, Dar es Salaam
5 days ago
Sh. 250,000 per month
Aina
Nyumba
Vyumba
1
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Umeme
Luku Inajitegemea
Mita ya Maji Inajitegemea
Parking Space
Uzio
Maelezo
💥Chumba master ,Sebule najiko
💥250 000/= miezi 5 6
💥Umeme Maji unajitegemea
💥Ndani ya Fence na Parking IPO
💥MAHALI SALA SALA NYUMBA LAMI
💥Service charge 20k
