Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
MASTER SEBULE TU
@
Inapangishwa
@
Bei 200.000 kwa mwez
@
Malipo miez 6 Na dalali 7
@
Umeme mita yako maji shea
@
Karibu ofisini kwetu sinza LEGO
@
Garama ya kupelekwa Ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya Sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687















