Tafuta

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Sinza Vatikani, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 110,000/month

Maelezo

Hy wale wakuwah
Hiki kinamfaa bachelor chumba kimoja kizuri nyumba lami kinapangishwa kipo sinza vactikani choo chakwako cha uani kinapangishwa laki 110 000 kwa mwezi kodi miezi 6 ukilipa maji bule umeme bule
Service charge yakuona nyumba ni shi 30000 pia nakodi yamwezi 1 wadalali
Call
#0716938128_0692198834
#0760097834_call whatsAp