Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Songea Mjini, Ruvuma
Mjini, Ruvuma
1 month ago
Sh. 180,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
š CHUMBA MASTER NA SEBULE ā SONGEA MJINI
Unatafuta nyumba nzuri ya kupanga? Hii ndiyo nafasi yako!
ā
Master na sebule ā
Ndani ya fensi ā
Unajitegemea umeme ā
Eneo zuri na salama š° Kodi: TSh 180,000 kwa mwezi
š Wasiliana nasi:
Dalali Songea ā Tunakupatia nyumba na viwanja kwa bei nafuu. Karibu!







