Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
π CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO VINAPANGISHWA
π Eneo: Tabata Segerea Kwa Bibi πΆ Umbali: Dakika 3 kutoka barabara kuu
π° PRICE: 500,000
β
Chumba Master β
Sebule kubwa β
Jiko la kisasa β
Maji yamelipiwa β
Geti la umeme β
Usafi wa mazingira umejumuishwa β
Eneo salama na tulivu
π Piga simu:
Wahi sasa kabla nafasi haijachukuliwa! ππ‘
Service Charge 30,000
1 Month Agent Commission
Normal Calls: 0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp















