Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Temboni, Dar Es Salaam









Temboni, Dar es Salaam
9 hours ago
Sh. 200,000/month
Maelezo
Chumba mastar sebule kubwa lnapangishwa lnapangishwa
Nyumba lpo temboni kulia kama hunaelekea mbezi
Kutembea dk 20 boda buku
Nyumba lnatiles gyupsam aluminium
Umeme sabmeter maji shea
Ipo ndani ya fensi ful peving block
Kodi 200x6
Kuona nyumba elfu 20
Utamlipa dalali kodi yamwezi ukilipia nyumba
Cal
0713 320 608
0686 334 182















