Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo Kibo, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
MASTER BEDROOM, SEBULE NA JIKO - 550k, (Full Ac)
Furahia Maisha Bora Ubungo Kibo
Maelezo ya Nyumba
• Master Bedroom
• Sebule kubwa
• Jiko Open
• Nyumba ipo dakika tano kutembea
Free service
• Maji bure
• Ulinzi bure
• Gym bure
• Usafi bure
• Washine mashine Available
Bei na Masharti
• Kodi: 550,000 kwa mwezi
• Malipo: Miezi 3
• Security deposit: one month
Gharama za Ziada
• Service charge: 20,000 Tsh (inalipwa mara moja tu)
• Commission ya dalali: Kodi ya mwezi mmoja
Mahali
Ubungo kibo
Kwa Mawasiliano Zaidi
• WhatsApp/Piga Simu: +255 692 932 076
Njoo ujionee nyumba nzuri na upate maisha bora karibu na Ubungo















