Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo Riverside, Dar Es Salaam









Ubungo, Dar Es Salaam
3 hours ago
Sh. 200,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Location ubungo riverside
Kodi 200000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 20000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Umeme luku yako
Maji dawasa ndani yanafloo
Mazingira tulivu sana
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali pilipili











