Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibamba Shule, Dar Es Salaam









Maelezo
APARTMENT MPYA KABISA INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #250K
Chumba cha kulala
Sebule
Choo
Na Jiko
Bei 250,000 kwa mwezi × 6
Inajitegemea umeme na maji ndani ya fence parking ipo
Umbali kutoka kituoni dakika 10 kwa miguu
Kupelekwa kuona nyumba 20,000/=
SIMU
0712656027















