Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Kigamboni, Dar Es Salaam
20 days ago
Sh. 400,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
Location darajani
Nyumba ina chumba kimoja master sebule na jiko full ac kali
Nyumba iko fenced
Nyumba ina parking
Nyumba ina electric ⚡️
Nyumba ni apartment
Asking price 400k TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
Mali ni kwa MIEZI mitatu tu
Umeme luku yako
Maji unajitegemea
Services’s charge elfu ishilini
Mawasiliano















