Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kisiwani, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kisiwani
<> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jiko nzuri
✅nyumba iko fenced
✅nyumba Ina parking
✅nyumba ina electric ⚡️
✅nyumba ink apartment
<> asking price 350k TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
<> malipo miezi minne
<> services charge 30k zingatia utalatibu
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837















