Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ungindoni, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location ungindoni (barabarani)
<> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jiko mpya
✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba ina electric ⚡️
✅nyumba ina apartment
<> asking price 300k TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
<> services charge 30k zingatia utalatibu
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837









