Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 700,000

Aina

Nyumba

Vyumba

1

Maelezo

Apartment Inapangishwa

Mahali : Mbezi Beach(Almas Street), Dar-Es-Salaam, Tanzania 🇹🇿

Ina :

🟢 Chumba Kimoja Cha Kulala (Masta), Sebule, Jiko lenye makabati,

🟢 Parking Space

🟢 Ina Ac

🟢 Hulipi Maji , Ulinzi, Usafi , Internet..

🟢 Inajitegemea Kwenye Umeme

Kodi : 700,000 Tshs Kwa Mwezi

Kwa Mawasiliano Zaidi:-
0743688011