Tafuta

Nyumba ya vyumba 10 inauzwa Manzese Uzuri, Dar Es Salaam (350 sqm)

video thumbnail
Sh. 47,000,000

Aina

Nyumba

House for sale in Manzese

Vyumba

10

10 bedroom House for sale in Manzese

Ukubwa

350 SQM

Barabara ya Karibu

100m — Sinza/Magomeni-Kanisani

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Shule
Site Visit Bure
Residential License

Maelezo

NYUMBA MBILI ZINAUZWA NA BANK PAMOJA,TSHS.47 MILIONI MANZESE UZURI.

Hapa ni jirani na MANZESE SEKONDARI.
Umbali wa mita 100 tu kutoka Barabara ya Lami ya SINZA/MAGOMENI-KANISANI kupitia TANDALE.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 350.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.

Nyumba moja ina Vyumba 4 vya kulala.
Na nyingine ina jumla ya Vyumba 6.

NI NYUMBA YA KISWAHILI,
Ambayo pengine inaweza kuhitaji MABORESHO.

Hatahivyo ina Wapangaji.

Pazuri kwa Biashara ya kupangisha.

WAHI.

______________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548
______________jj

Matangazo yanayofanana Manzese, Dar Es Salaam