Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Bunju B, Dar Es Salaam







Bunju, Kinondoni, Dar Es Salaam
4 days ago
Sh. 300,000 per month
Aina
Apartment
Vyumba
2
Huduma na Sifa
Dining
Jiko
Public Toilet
Maelezo
Apartments zinapangishwa, zipo Bunju B
Vyumba viwili kimoja master, Sitting Room, Dining Room, Kitchen na Public Toilet.
Bei ni 300,000
kwa mwezi, Malipo ni miezi 6 na mwezi 1 malipo ya Dalali.
Gharama za kuona 20,000
Wasiliana nami kwa
0718 809 744
Karibuni sana
