Tafuta
-
-

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Chidachi, Dodoma

video thumbnail
Sh. 300,000 per month

Aina

Apartment

Vyumba

2

Barabara ya Karibu

400m

Huduma na Sifa

Umeme
Karibu na Barabara ya Lami
Water

Maelezo

APARTMENT NZURI INAPANGISHWA – CHIDACHI, DODOMA

Unatafuta nyumba ya kisasa, tulivu na yenye huduma muhimu? Hii hapa inakufaa 👇

✨ Sifa za Nyumba:
• Vyumba 2 vya kulala (2 Bedrooms)
• Sebule kubwa na nzuri
• Jiko la kisasa
• Maji ya Yapo
• Umeme wa kujitegemea

📍 Mahali: Chidachi – Dodoma
• Karibu na barabara ya lami (Mita 400 tu)
• Jirani na SGR Station

💰 Kodi: Tsh 300,000/= kwa mwezi

📞 Mawasiliano:
0787037986
0757037986