Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba Centre, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
Apartment Inapangishwa:
(Zipo Mbili Tu Kwenye fensi)
Location :: Goba Centre
Bei yake :: 500,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (Kimoja Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Electric Fence
Call/Whatsapp;
0684561351















