Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
2
Bafu
2
Barabara ya Karibu
1km
Awali
Inaruhusiwa
Maelezo
APARTMENT INAPANGISHWA GOBA NMB KM 1 TOKA LAMI NYUMBA NZURI SANA
__
Vyumba 2 vya kulala, kimoja master
Sebule
Jiko open kitchen
Parking
Choo cha familia
Ac
Heater
Maji na Umeme mita yako
Fensi ya Umeme
__
Kodi 750,000/= × 4 au 5
Dalali mwezi 1
Kuona site 20 elf
0659336751















