Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Iwambi, Mbeya

Iwambi, Mbeya
2 months ago
Sh. 300,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT INAPANGISHWA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA SELF SEBURE NA JIKO INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
IKO IWAMBI MBEYA JIJI
KODI YAKE 300k
MAWASILIANO 0756258721





