Tafuta
-
-

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibada, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 600,000 per month

Aina

Apartment

Vyumba

2

Huduma na Sifa

(Fence) Ukuta
Umeme
Parking Space

Maelezo

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI

<> location kibada

<> nyumba ina vyumba VIWILI Kimoja master sebule na jiko (apartment)

✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina apartment
✅nyumba Ina electric ⚡️
✅nyumba ina parking

<> asking price TSH,, 600k per month
mwezi moja wa dalali kisiwani

<> services charge 30k zingatia utalatibu

◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837