Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba Chama, Dar Es Salaam









Kibamba, Dar Es Salaam
2 days ago
Sh. 300,000/month
Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
1.5km
Maelezo
APARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA KIBAMBA CHAMA/ KWA MANGI #300K
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 300,000 kwa mwezi × 6
Inajitegemea umeme na maji
Parking ya uhakika
Umbali Km 1.5
Site visit 20,000/=
SIMU
0712656027















