Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni Darajani, Dar Es Salaam


Kigamboni, Dar Es Salaam
1 day ago
Sh. 600,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
Location darajani
Nyumba ina vyumba Viwili Kimoja master sebule na jiko nzuri
Nyumba iko fenced
Nyumba ina parking
Nyumba Ina electric ⚡️
Nyumba ni apartment
Asking price 600K TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
Maji bule
Umeme luku yako
Services charge elfu ishilini
Mawasiliano











