Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
π’ CLASSIC APARTMENT INAPANGISHWA β KIGAMBONI KISIWANI π’
Wahi mapema upate apartment nzuri ya kisasa!
βοΈ Full AC
β
Vyumba 2 vya kulala
β
Kimoja ni Master Bedroom
β
Sebule
β
Jiko la ndani
β
Apartment ya kisasa
β
Iko ndani ya fensi
β
Ulinzi wa kutosha
β
Mazingira mazuri na salama
π° Kodi: Shilingi 600,000 kwa mwezi
π Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupanga kuiona nyumba.
#ClassicApartment #NyumbaInapangishwa #KigamboniKisiwani #Kigamboni #HouseForRent DarEsSalaam NyumbaZaKupanga MasterBedroom FullAC FencedHouse Security RentalApartment















