Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam

Maelezo
🏢 APARTMENT ZINAPATIKANA KIGAMBONI KISIWANI! 🔥
📍 Karibu kabisa na barabara ya alamazi
🏡 Nyumba mpya kabisa, ya kisasa na ya kuvutia
✨ VIPENGELE VYA NYUMBA
* 🛏 Vyumba 2 vya kulala
* 🛋 Sebule kubwa na ya kisasa
* 🍽 Dining area nzuri
* 🍳 Jiko la ndani
* 🧱 Floor ya kisasa (tiles + gypsum finish)
* 🪟 Aluminium windows & finishes
* 🔒 Iko ndani ya fence
* ⚡ Electric fence kwa usalama zaidi
* 🚗 Parking ya kutosha
* 🏢 Apartment ni 4 tu (imebaki 1 tu ya mwisho!)
💰 BEI: Laki 6 (600,000 TZS) 🔥
⚠️ Fursa adimu sana — nyumba ya kisasa, eneo zuri na karibu na barabara!
⸻
💰 Service Charge: 30,000 TZS
📞 Call/WhatsApp: +255746407197
⸻
#creatorsearchinsights
#dalalikigamboni
#dalalidar es salaam
#dalalinyumbaviwanja
#realestateapartment
dalalidaressalaam
propertytanzania 🚀















