Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam







Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam
7 days ago
Sh. 400,000 per month
Aina
Apartment
Vyumba
2
Bafu
1
Huduma na Sifa
Parking Space
Maji
Uzio
Luku Inajitegemea
Mita ya Maji Inajitegemea
Karibu na Barabara
Maelezo
🇹🇿 #APARTMENT SAFI INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE – KARIBU NA BARABARA KUU
📍 Kimara Korogwe
🕗 Hii hapa kwa wale wavivu wa kutembea mmefikiwa sasa. Umbali wa kutoka standi ya mwendo kasi dakika 3 kwa mguu, haitaji bodaboda.
🏡 SIFA ZA NYUMBA
🔸 Vyumba viwili, vya kulala
🔸 Sebule
🔸 Jiko
🔸 Public toilet ya ndani
🔸 Umeme & maji (inajitegemea)
🔸 Maji yanapatikana masaa 24/7
🔸 Fenced car parking kubwa sana
GHARAMA
🔹 Kodi Tsh 400,000 x miezi 6/=
🔹 Malipo ya dalali Tsh 400,000/=
🔹 Service charge Tsh 15,000/=
📞 #Piga_simu👇
0740 747 383
