Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam







Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
2km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
APATIMENTI NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 200,000X6
Vyumba v2
Sebule kubwa
Choo cha public ndan
Jiko
Kod 200000 x6
Nyumba ipo kimara mwisho km2 kutoka mwendokas pia uanaweza kupitia kimara kologwe njia ya maji chumv kwa mama mzaile bajaji500 ukishuka dk10-12 kutembea
Maji inajitegemea umeme wa2
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
NB nyumba hii gali inaishia kwa jilan
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347















