Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam









Aina
Apartment
Vyumba
2
Barabara ya Karibu
2km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT MPYAA INAPANGISHWA
APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO KM 2
KUTOKA STEND PIKIPIKI ZIPO NA BAJAJI ZIPO
MUUNDO WA NYUMBA
==================
💥vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master
💥Jiko zuri ndani
💥 sebule kubwa
💥Public toilet
Apartment inajitegemea umeme na maji
Apartment hii ipo ndani ya fensi inayomaliziwa
KODI 400000/= malipo ya miezi 6
Survey charge 20000
📞
@dalali_kekuu @dalali_kekuu















